Rebeca Gyumi unaninyima usingizi

Mtafute Salama wa chsnnel 5 atakusaidia
 
Huu ungonjwa wa mdomo uzege bado ni tatizo kubwa sana kwa vijana wa karne hii bora zamani wanaume walikuwa wanatafutiwa wachumba
 
Mfuate Facebook yupo. Just inbox her.
 
Daaaah! hii stori yako inatia huruma,ila jikaze tu ipo siku..
 
Mabwakuuu..
But she's a lovely lady,jaribu bahati yako
 
Cha ajabu wakati unamwandikia hivi jinsi unavyompenda basi na yeye anamwandikia mwanaume mwingine anayempenda zaidi. Nasikituja kusema hata akiomuona ujumbe.kmhuu bado atakuwa na shindmgo ngumu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…