pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Wadau ni ajabu lakini ni kweli, huyu binti katoa single yake na viewer ni 35,613,780
na 43,236 likes, 371,453 dislikes; hii inaonesha wenzetu nchi zilizoendelea mtandao unavyotumika kutoa ulaji!! Sikiliza wimbo wake

Last edited by a moderator: