pascaldaudi JF-Expert Member Joined Mar 25, 2009 Posts 534 Reaction score 96 Mar 23, 2011 #1 Wadau ni ajabu lakini ni kweli, huyu binti katoa single yake na viewer ni 35,613,780 na 43,236 likes, 371,453 dislikes; hii inaonesha wenzetu nchi zilizoendelea mtandao unavyotumika kutoa ulaji!! Sikiliza wimbo wake Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wadau ni ajabu lakini ni kweli, huyu binti katoa single yake na viewer ni 35,613,780 na 43,236 likes, 371,453 dislikes; hii inaonesha wenzetu nchi zilizoendelea mtandao unavyotumika kutoa ulaji!! Sikiliza wimbo wake