Hi guys! Mie nilivutwa hapa na mwana jamii marehemu Advocate Jasha (Mungu aiweke roho yake peponi). Muda mrefu nilikuwa dead member ila sasa nime zaliwa upya. I am a senior citizen na mlowezi wa Russia, hivyo sorry to say, labda kuna sehemu tutatofautiana mawazo. Naomba tusameheane. Otherwise HODI tena!