Bezecky
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 494
- 897
Ni kosa kubwa na la kiufundi wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa kumchagua mtu kuwa mjumbe wa Kamati Kuu wakati Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA yeye tayari ni Mjumbe wa Kamati kuu mpaka Kufa, hili Mbowe najua analijua.
Kumchagua Freeman Mbowe kuwa mjumbe wa Kamati kuu kwà mara ya pili ni sawa na kupoteza muda na Rasilimali pesa, ( matumizi fafifu ya akili )
Freeman Mbowe akishindwa ni kama kashinda Kwakuwa ataendelea kuwepo kwenye uongozi wa Tundu Lissu kama mjumbe wa Kamati Kuu mpaka afe, CHADEMA kwanini hamtumii akili zenu vema kuepusha hii mitifuano?
Freeman Mbowe kutaka ujumbe wa Kamati kuu kwà mara ya pili kwanza ni uroho wa madaraka pili ni matumizi mabaya ya akili na muda otherwise mnachangamsha chama.
Katiba ya CHADEMA inasema wazi Freeman Mbowe kama mwenyekiti mstaafu atakuwa mjumbe wa Kamati kuu mpaka Kifo chake sijui tamaa za nini,
Ushauri wangu, Wajumbe mchagueni Tundu Lissu kuwa mjumbe wa Kamati kuu Kwakuwa Freeman Mbowe tayari ni mjumbe wa Kamati kuu wa kudumu hata kama atapata kura sifuri ili kukipanua chama mkiwa na Lissu na Mbowe kwa pamoja kwenye Kamati kuu.
XxxxxxxX