jambo1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 241
- 29
Bosi wangu amenipa kazi ya kumsaidia kumtafuata receptionist.Awe na sifa zifuatazo
- Awe na Certificate ya Customer Care au Reception.
- Awe anajua kuongea Kingereza(Communication Skills)
- Awe na knowledge ya Computer Application
- Awe msichana si zaidi ya Miaka 28.