jambo1 JF-Expert Member Joined Jul 5, 2009 Posts 241 Reaction score 29 Jun 3, 2012 #1 Bosi wangu amenipa kazi ya kumsaidia kumtafuata receptionist.Awe na sifa zifuatazo Awe na Certificate ya Customer Care au Reception. Awe anajua kuongea Kingereza(Communication Skills) Awe na knowledge ya Computer Application Awe msichana si zaidi ya Miaka 28. ZINGATIA:Ameomba nimpatie CV si zaidi ya KUMI so kama uko na ndugu yako au wewe mwenyewe nitumie mapema iwezekananvyo.If possible attach na passport Size. Mwisho ni kesho saa SITA Mchana. TUPIA CV: tambikagani@yahoo.com Kila la kheri.
Bosi wangu amenipa kazi ya kumsaidia kumtafuata receptionist.Awe na sifa zifuatazo Awe na Certificate ya Customer Care au Reception. Awe anajua kuongea Kingereza(Communication Skills) Awe na knowledge ya Computer Application Awe msichana si zaidi ya Miaka 28. ZINGATIA:Ameomba nimpatie CV si zaidi ya KUMI so kama uko na ndugu yako au wewe mwenyewe nitumie mapema iwezekananvyo.If possible attach na passport Size. Mwisho ni kesho saa SITA Mchana. TUPIA CV: tambikagani@yahoo.com Kila la kheri.