Watu hawana time naye...lol
huko wapo ktk mikakati ya kuifukuza njaa yeye ufirauni wake aupeleke maisha club
Ndio nani huyu....
Mcheza masumbwi
Nani ana time na wewe?ndo maana ham endelei
Mpo busy kusifia vya watu vya nje vya kwenu
Mnajidai hamna habari