Recho Temu aingia pabaya

Hiyo conspiracy ya kumuua mtoto ndiyo kesi tamu ya kumchezesha mabreka vizuri.
Huyo binti ana shida ya afya ya akili inayompelekea kufanya uhalifu wa kimtandao kila leo sasa amevuka mipaka hadi ameshiriki njama za mauaji.
 
Mmmmh hata huko BBC sijaona, ila Rachel safi tyuuh akomeshwee maana amezidi mdomo, na ana roho mbayaa sana khaaah

Ila ndo hvyo ndugu wa ambasada anaweza vuka salama kihunzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…