Recho the musician

dav22

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
1,887
Reaction score
312
Du aisee huyu mtoto yaani kuanzia kuimba,style yaa muziki hadi muonekano hana tofauti na Ray C da........
 
boss wa tht hajapita hapo.?!...cos nilisikia mwasiti wakiti ni up coming alishagonga.
 
Kashapita jombaa sababu madem wa tht bila boss wao kuwapitia ni ngumu kupata promo redio ya wafu a.k.a blauz efuem
 
boss wa tht hajapita hapo.?!...cos nilisikia mwasiti wakiti ni up coming alishagonga.

Kuwapitia ni moja wapo ya zoezi lakukuza kipaji naskia kwa wasanii wa mtaa uleee....
 
Du aisee huyu mtoto yaani kuanzia kuimba,style yaa muziki hadi muonekano hana tofauti na Ray C da........

kuna siku alikua anahojiwa hot mix akapanic alivoombiwa anafananishwa na RayC..
 
Anamauno huyu mtoto hatareeeee...thanks precision air kwa ku cancel flight siku ile mwanza...na asanteni lakairo hotel kwa kutupa vyumba karibu karibu
 
What do u mean???...heheheeee
 
Anamauno huyu mtoto hatareeeee...thanks precision air kwa ku cancel flight siku ile mwanza...na asanteni lakairo hotel kwa kutupa vyumba karibu karibu

Mmmhh kwahiyo mkuu mauno wewe umeyaexperience zaidi ya yale tunayoyaona stejini na kwenye music video zake tuu nn mkuu??
 
Anamauno huyu mtoto hatareeeee...thanks precision air kwa ku cancel flight siku ile mwanza...na asanteni lakairo hotel kwa kutupa vyumba karibu karibu

aisee ukiona manyoya ujue kaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…