KITAULO JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 1,926 Reaction score 2,797 Aug 29, 2020 #1 wadau, Naomba ushauri wa dawa gani ni nzuri with less side effects kwa mtoto wa chini ya mwenzi mmoja, nimesikia paracetamol is not advised to be given to baby of such age. Je, mafuta ya samaki ni tiba nzuri kwa maumivu ya tumbo kwa watoto.
wadau, Naomba ushauri wa dawa gani ni nzuri with less side effects kwa mtoto wa chini ya mwenzi mmoja, nimesikia paracetamol is not advised to be given to baby of such age. Je, mafuta ya samaki ni tiba nzuri kwa maumivu ya tumbo kwa watoto.