Entareyehirungu
JF-Expert Member
- Oct 27, 2006
- 488
- 471
Hujapata uondo hata nusu! Kama umeangalia sana hukuzidi dkk 10 maana naona comment yako imekuja ndani ya dkk 10 baada ya hii clip ya dkk 37 kuwekwa hapa!Nimeipenda hii
Ngoja nitaleta mrejesho
nilikuwa na hii clip mda mrefu and today ndo nimejikuta naiangalia.
Vere interesting huyu dogo wa upanga.
Ila nimejiuliza kwa nini asirudi huku Tz mashamba mengi sana?
Bado najiuliza naona kama sipati majibu
Yawezekana dogo anaona huku longo longo sana
au labda kashazoea mazingira ya Kenya na connection ambazo ashazipata mpaka sasa ndo maana hataki rudi........
..........???????????!!!!!!!!!!!

Samahani mkuu hekimatele kwa usumbufu, just some tips naomba unielezee huyo dogo amezungumza nini, naona u-tube inanizingua.
Samahani mkuu hekimatele kwa usumbufu, just some tips naomba unielezee huyo dogo amezungumza nini, naona u-tube inanizingua.
Nasikia huyu dogo alikufa kenya, sijui hili swala liliishia wapi
Duuuh
Ndo nasikia kwako mkuu
Are you serious?
Mbona hii ilitangazwa siku nyingi sana!
Mkuu hekimatele, huyu dogo aliuwawa tangu mwaka jana huko Nairobi, alitoka kwenye party ambapo alikua MC, wahuni wakamteka wakamnyonga...
RIP brother jerry.