Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira magoli/ ushindiStill yanga imecheza vizuri nakuonyesha maana ya mpira! Burudani ipo yanga huo ni mwanzo next time hamtaamini macho yenu
Mpira ni magoal na mwenye magoal mengi ndiyo mshindi.Still Yanga imecheza vizuri nakuonyesha maana ya mpira! Burudani ipo yanga huo ni mwanzo next time hamtaamini macho yenu
HahahahahaMmekandwaa [emoji196][emoji3][emoji3]
Hakudaka penalti.David Mwakalebela beki wa Yanga alipaisha penalti na ndio iliyowapa ushindi Simba.hivi fainali iliyofanyika Zanzibar ya Africa mashariki( cecafa) Mwameja alidaka penati ngapi?
Mbili. Mwaka 1992 pale zanzibarhivi fainali iliyofanyika Zanzibar ya Africa mashariki( cecafa) Mwameja alidaka penati ngapi?
Simba alionesha burudani Afrika kusini akafungwa nne mbele ya Kaizer chiefs.Still Yanga imecheza vizuri nakuonyesha maana ya mpira! Burudani ipo yanga huo ni mwanzo next time hamtaamini macho yenu
Kabinti kalikonunuliwa jezi ya uto leo kanakuwa kachambuzi ka mechiYanga kavunga goli mbili halafu ngao anchukua simba daaah hii nchi tamu sana ndo yaleyale yanga imemsajili chama halafu anacheza simba
hawa siku hizi wamekuwa watunga Sheria za mpira, juzijuzi walikuwa wanataka CAF ifute Sheria za goli la ugenini kisa imewaathiri ila ingewasaidia usingesikia keleleMpira una sheria zake,Unajua mpira au kubet tu?
Tunzeni record hii[emoji173][emoji419][emoji375]Ally Salum ameweka record mbele ya kipa aliyepewa kila aina ya sifa lakini hata hivyo amekwama kwa kutobolewa vitatu huku kipa wa Simba akizuia mikwaju mitatu ya moto.
Tunzeni record hii
Ni mjinga tu, mwenye akili za kiccm ambaye ndio aliamin kua Leo Yanga anashinda.
Mpira ni magoli sio ufundiStill Yanga imecheza vizuri nakuonyesha maana ya mpira! Burudani ipo yanga huo ni mwanzo next time hamtaamini macho yenu
Hakuna timu iliyofunga goli ndani ya dakika 90
Nakazia mmekandwaa [emoji2958][emoji2958]