Record: Kipa aliyedaka penalties 3 kwenye derby ya Kariakoo

Still Yanga imecheza vizuri nakuonyesha maana ya mpira! Burudani ipo yanga huo ni mwanzo next time hamtaamini macho yenu
 
hivi fainali iliyofanyika Zanzibar ya Africa mashariki( cecafa) Mwameja alidaka penati ngapi?
 
Ally Salum ameweka record mbele ya kipa aliyepewa kila aina ya sifa lakini hata hivyo amekwama kwa kutobolewa vitatu huku kipa wa Simba akizuia mikwaju mitatu ya moto.

Tunzeni record hii
Tunzeni record hii[emoji173][emoji419][emoji375]
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…