Record KUBWA ya Simba SC ambayo mpaka leo haijavunjwa kwenye group stage CAF CHAMPIONS LEAGUE

Mtamba wa Panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
764
Reaction score
1,892
AS Vita ( 5 - 0 ) Simba SC
Al Ahly ( 5 - 0 ) Simba SC
Ilipelekea mpaka timu hii kongwe kupachikwa jina la "wazee wa Khamsa Khamsa ", huku baadhi wakiwabatiza jina la "mkono mmoja", baada ya majina yao yale maarufu na pendwa zaidi kama vile "Mikia FC" na lile "Mbumbumbu FC".
Kumbuka "vichapo hivi heavy" vilitokea ndani ya wiki moja, wakianza "kuchapwa nao" ndani ya jiji la Kinshasa, Congo na baada ya wiki moja "wakatembezewa" kule jijini Cairo, Egypt. Hii ni baada ya ushindi wa mechi yao ya kwanza dhidi Waalgeria, JS Saoura pale "kwa Mkapa" ( Kama walivyoanza kwa ushindi juzi dhidi ya ASEC Mimosas)
Je, historia kujirudia wiki hii? Je, unahisi "dozi nene" hizi zitaendelea kwa Simba SC (a.k.a Makolo) kesho na wiki ijayo dhidi ya US Gendarmerie na RS Berkane za nchini NIGER na MOROCCO respectively, huku zikitengeneza rekodi mpya (na pengine jina jipya) kwenye CAF Confederation Cup #CCC?
Karibu
..
.
 
Mwisho wa siku Simba akaingia robo fainali huku As Vita ikiondolewa licha ya ushindi wa goli 5.

Pale hayaangaliwi magoli pekee kwenye group stage bali idadi ya points.

Wewe mzee vipi bwana huelewi mambo ya kimataifa kwasababu licha ya kubebwa na Simba hamkufika mbali.
 
Simba alifungwa goli hizo lakini ndo kipindi hicho hicho alichowabeba Yanga kushiriki kimataifa na kuondolewa mapema kabisa kama ilivyo kawaida yenu.

Simba atabaki kuwa na historia nzuri ya kufika hatua ya makundi na robo fainali mfululizo. Hakuna timu nyingine yoyote iliyofikia mafanikio hayo.
 
Mwisho wa siku Simba akaingia robo fainali huku As Vita ikiondolewa licha ya ushindi wa goli 5.

Pale hayaangaliwi magoli pekee kwenye group stage bali idadi ya points.

Wewe mzee vipi bwana huelewi mambo ya kimataifa kwasababu licha ya kubebwa na Simba hamkufika mbali.

Wazee wa "KuSpray", Nawakubali sana mkicheza nyumbani..
 
Mwisho wa siku Simba akaungana na Ahly kwenda robo fainali akimuacha Vita na hayo magoli yake matano yasio na faida

Mpira ni hesabu. Yjue kucheza tournament, league na knockout. Rekodi iliyopo ni Simba FC ilifuzu hatua inayofuata
 
Kila mwaka wakishiriki lazima watie aibu,mwaka huu tutarajie hilo pia, kujisifu kufika robo fainali ni uzwazwa maana hupati chochote.
 
Mbona ukiingia Robo fainali unavuta mkwanja wa kitosha chief? Mkubwa kuliko wa udhamini GSM
 
AS Vita ( 5 - 0 ) Simba SC
Al Ahly ( 5 - 0 ) Simba SC
Ilipelekea mpaka timu hii kongwe kupachikwa jina la "wazee wa Khamsa Khamsa ", huku baadhi wakiwabatiza jina la "mkono mmoja", baada ya majina yao yale maarufu na pendwa zaidi kama vile "Mikia FC" na lile "Mbumbumbu FC".
Kumbuka "vichapo hivi heavy" vilitokea ndani ya wiki moja, wakianza "kuchapwa nao" ndani ya jiji la Kinshasa, Congo na baada ya wiki moja "wakatembezewa" kule jijini Cairo, Egypt. Hii ni baada ya ushindi wa mechi yao ya kwanza dhidi Waalgeria, JS Saoura pale "kwa Mkapa" ( Kama walivyoanza kwa ushindi juzi dhidi ya ASEC Mimosas)
Je, historia kujirudia wiki hii? Je, unahisi "dozi nene" hizi zitaendelea kwa Simba SC (a.k.a Makolo) kesho na wiki ijayo dhidi ya US Gendarmerie na RS Berkane za nchini NIGER na MOROCCO respectively, huku zikitengeneza rekodi mpya (na pengine jina jipya) kwenye CAF Confederation Cup?
Karibu
..
.
Lakini ilifuzu kwenda robo fainali
 
Mwisho wa siku Simba akaingia robo fainali huku As Vita ikiondolewa licha ya ushindi wa goli 5.

Pale hayaangaliwi magoli pekee kwenye group stage bali idadi ya points.

Wewe mzee vipi bwana huelewi mambo ya kimataifa kwasababu licha ya kubebwa na Simba hamkufika mbali.
Na msimu uliofuata hao As vita tukawapiga Nje ndani rekodi ambayo Utopoloni hawajaifikia mpaka dakika hii kuifunga timu ya DRC nje ndani 😂😂😂😂😂

Yaan madhabik wa utopolo akili zenu za kizwazwa sanaa
 
AS Vita ( 5 - 0 ) Simba SC
Al Ahly ( 5 - 0 ) Simba SC
Ilipelekea mpaka timu hii kongwe kupachikwa jina la "wazee wa Khamsa Khamsa ", huku baadhi wakiwabatiza jina la "mkono mmoja", baada ya majina yao yale maarufu na pendwa zaidi kama vile "Mikia FC" na lile "Mbumbumbu FC".
Kumbuka "vichapo hivi heavy" vilitokea ndani ya wiki moja, wakianza "kuchapwa nao" ndani ya jiji la Kinshasa, Congo na baada ya wiki moja "wakatembezewa" kule jijini Cairo, Egypt. Hii ni baada ya ushindi wa mechi yao ya kwanza dhidi Waalgeria, JS Saoura pale "kwa Mkapa" ( Kama walivyoanza kwa ushindi juzi dhidi ya ASEC Mimosas)
Je, historia kujirudia wiki hii? Je, unahisi "dozi nene" hizi zitaendelea kwa Simba SC (a.k.a Makolo) kesho na wiki ijayo dhidi ya US Gendarmerie na RS Berkane za nchini NIGER na MOROCCO respectively, huku zikitengeneza rekodi mpya (na pengine jina jipya) kwenye CAF Confederation Cup #CCC?
Karibu
..
.
Mbona hujamalizia hiyo rekodi...kwamba pamoja na kufungwa kote huko walifuzu kwa hatua ya robo fainali...

Acha kuandika makala nusu nusu, andika mpaka mwisho
 
Back
Top Bottom