Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
AS Vita ( 5 - 0 ) Simba SC
Al Ahly ( 5 - 0 ) Simba SC
Ilipelekea mpaka timu hii kongwe kupachikwa jina la "wazee wa Khamsa Khamsa ", huku baadhi wakiwabatiza jina la "mkono mmoja", baada ya majina yao yale maarufu na pendwa zaidi kama vile "Mikia FC" na lile "Mbumbumbu FC".
Kumbuka "vichapo hivi heavy" vilitokea ndani ya wiki moja, wakianza "kuchapwa nao" ndani ya jiji la Kinshasa, Congo na baada ya wiki moja "wakatembezewa" kule jijini Cairo, Egypt. Hii ni baada ya ushindi wa mechi yao ya kwanza dhidi Waalgeria, JS Saoura pale "kwa Mkapa" ( Kama walivyoanza kwa ushindi juzi dhidi ya ASEC Mimosas)
Je, historia kujirudia wiki hii? Je, unahisi "dozi nene" hizi zitaendelea kwa Simba SC (a.k.a Makolo) kesho na wiki ijayo dhidi ya US Gendarmerie na RS Berkane za nchini NIGER na MOROCCO respectively, huku zikitengeneza rekodi mpya (na pengine jina jipya) kwenye CAF Confederation Cup #CCC?
Karibu
..
.