Cubicchomox
New Member
- Aug 29, 2019
- 2
- 2
Bila kusahau man uChelsea chama kubwa...
Tupeni na rekodi za Yanga a.k.a WakimataifaUshindi Wa Chelsea Dhidi Ya Aston Villa Ulikuwa Wa(600)Kwenye Ligi Kuu Ya Uingereza
Sasa wanaungana Na Man United(690)Kuwa Timu(2)Pekee Zenye Michezo(600)Ya Kushinda.
One England one LiverpoolStill Kuna mpumbavu Fulani atakuja hapa kuinanga Chelsea
England klabu kubwa ni mbili tu MANYUA na sisi THE PRIDE OF LONDON
Kuna klabu kongwe halafu klabu kubwa
Rekodi za klabu yako za mwaka 47 hazina nafasi katika Zama za Sasa za sayansi na teknolijia Zama information age.Zama ambazo sayansi imechukua nafasi kwenyw soka.
Ni eidha uende manyua au uje Chelsea
#KTBFFH
Hahahaaa! Bhange imewekwa kwenye makosa ya jinai sasa wewe endelea tu, unaposema chelsea kashinda mechi 600 unazani zote 600 kashinda jana? Zingine ni za mwaka 47 jombaaStill Kuna mpumbavu Fulani atakuja hapa kuinanga Chelsea
England klabu kubwa ni mbili tu MANYUA na sisi THE PRIDE OF LONDON
Kuna klabu kongwe halafu klabu kubwa
Rekodi za klabu yako za mwaka 47 hazina nafasi katika Zama za Sasa za sayansi na teknolijia Zama information age.Zama ambazo sayansi imechukua nafasi kwenyw soka.
Ni eidha uende manyua au uje Chelsea
#KTBFFH
iHahahaaa! Bhange imewekwa kwenye makosa ya jinai sasa wewe endelea tu, unaposema chelsea kashinda mechi 600 unazani zote 600 kashinda jana? Zingine ni za mwaka 47 jombaa
Nyingi ni za modern era ya wajanjaHahahaaa! Bhange imewekwa kwenye makosa ya jinai sasa wewe endelea tu, unaposema chelsea kashinda mechi 600 unazani zote 600 kashinda jana? Zingine ni za mwaka 47 jombaa
Hahahaha mamaeeeeππππππ€Hahahaaa! Bhange imewekwa kwenye makosa ya jinai sasa wewe endelea tu, unaposema chelsea kashinda mechi 600 unazani zote 600 kashinda jana? Zingine ni za mwaka 47 jombaa