Record ya kipekee kwa timu ya Simba Sc, Camara kipa wa Simba anadaka first eleven ya Guinea na Manula kipa wa Simba anadaka first eleven ya Stars

Record ya kipekee kwa timu ya Simba Sc, Camara kipa wa Simba anadaka first eleven ya Guinea na Manula kipa wa Simba anadaka first eleven ya Stars

m.......e ongeza na hiiii
 

Attachments

  • 1732042400137.jpg
    1732042400137.jpg
    341.1 KB · Views: 5
Itachukua muda kwa hii record kufikiwa na vilabu vingine vya Tanzania

Tusisahau pia Manura kaingia kwenye kikosi cha Tz kuchukua nafasi ya A. Salim (kipa wa Simba) ambae alikua akidaka first eleven.
Ongeza na record hii;
1) Aucho mchezaji wa Yanga alikuwa timu yao ya taifa na wamefuzu.
2) Diarra yupo Yanga kashiriki kufuzu AFCON na Mali imefuzu.
3) Dube yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Zimbabwe imefuzu AFCON
4) Aziz ki yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Burkina Faso imefuzu AFCON
5) Chama na Musonda wameshiriki kufuzu AFCON na Zambia imefuzu AFCON.
6) Mzize, Mudathir,Baca, Job wameshiriki kufuzu AFCON na Tanzania imefuzu AFCON
7) Abuya kashiriki kufuzu AFCON na Kenya ikashindwa kufuzu AFCON.

Yanga imetoa wachezaji 11 katika mataifa 7, katika mataifa hayo 7 ni mchezaji wa taifa moja pekee ndiyo timu yake imeshindwa kufuzu AFCON.
 
Back
Top Bottom