kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
OkItachukua muda kwa hii record kufikiwa na vilabu vingine vya Tanzania
Tusisahau pia Manura kaingia kwenye kikosi cha Tz kuchukua nafasi ya A. Salim (kipa wa Simba) ambae alikua akidaka first eleven.
OkRekodi ziko nyingi sana
Ok. OkRecord nyingine
Msuva ... mchezaji wa zamani wa Yanga kaivusha taifa stars
Mudathiri .... mchezaji wa Yanga Katoa assist
What?Huyu manura ni usajili mpya hapo msimbazi
Ongeza na record hii;Itachukua muda kwa hii record kufikiwa na vilabu vingine vya Tanzania
Tusisahau pia Manura kaingia kwenye kikosi cha Tz kuchukua nafasi ya A. Salim (kipa wa Simba) ambae alikua akidaka first eleven.
Ongezea na hii feisali kabla ya kumpa pasi muda pasi ilitoka kwa kapombe mchezaji wa simba.m.......e ongeza na hiiii
Mbwana samatta alifunga goli dhidi ya kenya 2019.Rekodi ingine hakuna mchezaji wa smba aliyefunga afcon
You deserve a medalalafu anafungwa Golikipa wa SIMBA.!😂
Tuache ushabiki lakini hii ni kweliMakipa wawili kutoka timu moja kucheza mechi moja timu tofauti za taifa afrika haijawahi kutokea.