Record ya kuwa Simba Sc hapati matokeo ugenini hua inatoka wapi?

homeless1

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
427
Reaction score
950
Katika hii misimu mitatu ambayo simba kafika robo fainali namaanisha msimu wa 2018/2019 ,2020/2021 na huu 2021/2022 yote team walau ilifanya vizuri ugenini na baadhi ya matokeo ni haya

Simba Sc dhidi ya Mbabane swallows, Simba alimpiga Mbabane goli nne bila ugenini

Simba Sc alishinda 1 bila ugenini dhidi ya plateau Fc ya Nigeria

Simba alishinda dhidi ya As Vita, pale Congo DRC tena baada ya figisu kibao

Simba alitoa droo ya bila kufungana na Al Hilal ya Sudan

Simba alishinda 2-0 kule Botswana dhidi ya jwaneng galaxy

Simba alitoa droo dhidi ya Al Masry kule Egypt mechi iliisha 1-1

Simba alipata droo dhidi ya USGN ambayo kwa hakika ndo iliompeleka robo fainali msimu huu

Haya matokeo ni mengi kiasi kwamba yanatosha kusema Simba Sc inaweza kupata matokeo nje ya uwanja wa mkapa kwa sababu kuna matokeo ambayo alipoteza uwanja wa mkapa mfano ni marudiano dhidi ya Jwaneng Galaxy ambayo leo hii naona kama yana msaada kwa Simba Sc ambayo Mimi kama shabiki wa Simba toka tupate yale matokeo nmeona viongozi na benchi la ufundi limeanza kufikiria jinsi ya kulipata hili kombe mawazo ambayo ni makubwa ambayo pengine tusingeyawaza kule klabu bingwa

NB; Simba anapata matokeo ugenini sema anautumia vizuri zaidi uwanja wa Benjamin Mkapa
 
Katika hii misimu mitatu ambayo simba kafika robo fainali namaanisha msimu wa 2018/2019 ,2020/2021 na huu 2021/2022 yote team walau ilifanya vizuri ugenini na baadhi ya matokeo ni hata

Simba Sc dhidi ya Mbabane swallows, Simba alimpiga Mbabane goli nne bila ugenini

Simba Sc alishinda 1 bila ugenini dhidi ya plateau Fc

Simba alishinda dhidi ya As Vita, pale Congo DRC tena baada ya figisu kibao

Simba alitoa droo ya bila kufungana na Al Hilal ya Sudan

Simba alishinda 2-0 kule Botswana dhidi ya jwaneng galaxy

Simba alitoa droo dhidi ya Al Masry kule Egypt mechi iliisha 1-1

Simba alipata droo dhidi ya USGN ambayo kwa hakika ndo iliompeleka robo fainali msimu huu

Haya matokeo ni mengi kiasi kwamba yanatosha kusema Simba Sc inaweza kupata matokeo nje ya uwanja wa mkapa kwa sababu kuna matokeo ambayo alipoteza uwanja wa mkapa mfano ni marudiano dhidi ya Jwaneng Galaxy ambayo leo hii naona kama yana msaada kwa Simba Sc ambayo Mimi kama shabiki wa Simba toka tupate yale matokeo nmeona viongozi na benchi la ufundi limeanza kufikiria jinsi ya kulipata hili kombe mawazo ambayo ni makubwa ambayo pengine tusingeyawaza kule klabu bingwa

NB; Simba anapata matokeo ugenini sema anautumia vizuri zaidi uwanja wa Benjamin Mkapa
Yes, hata na mechi ya UD Songo alipata sare kule Mozambique.
 
Mentality hiyo naona ipo mpaka kwa wachezaji.....
Nilimsikia chama kwenye interview anasema saiv tumejua kucheza mechi za Ugenini.
Inabidi hili suala lipate tiba..
 
Mara nyingi utopolo ndio huongea.Ni wivu tu.
Pia kumbuka watu wengi wa utopoloni hawana elimu na hivyo wamewekeza sana kwenye uchawi na uzushi.

Simba hii imewahi kumla mtu kwao jumla ya goli 5 baada ya kugongwa goli 4 bila majibu nyumbani.

Achana na utopolo ni wivu tu unawasumbua
 
Achana na mautopolo huwa yanajifariji kwa namna hiyo. Wanahalalisha kutofanya kwao vizuri kimataifa, kwamba hawafanyi vizuri sababu hawafanyi figisu.
 
Itakua vizuri maana hatuko vibaya saana na kama ikitokea tukijiboresha zaidi tutakuwa hatari sana,,,Anyway tupo njia sahihi
 
Tuache masihara, klabu nyingi kupata matokeo ugenini ni ngumu. inatokea bahati tu
 
Back
Top Bottom