Record za kocha wa Yanga ( Nabi) dhidi ya match za kimataifa toka awe kocha wa Yanga

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Kocha wa Yanga Nabi hajawahi kushinda mchezo wowote wenye taswira ya Kimataifa akiwa na kikosi hicho.
●Yanga 1 - 2 Zanaco
●Yanga 0 - 1 Rivers
●Rivers 1 - 0 Yanga
●Yanga 1 - 1 Somalia
●Yanga 0 - 2 Vipers

Naomba kuuliza , huu uprofessor mliompa kocha wenu enyi utopolo mliutolea wap?

Match tano, amedroo moja, amefungwa nne , hajawahi shinda match yoyote kimataifa, huyu atakuwa professor wa mafailure!
 
Uyo uprofesa tumempa Kwa kuweza kuichakaza Simba Ndembendembe pamoja na kua Simba ni Mabingwa wa Ulozi na michezo michafu katika soka Barani Afrika, Kwa mujibu wa CAF.
 
Kocha wa Yanga Nabi hajawahi kushinda mchezo wowote wenye taswira ya Kimataifa akiwa na kikosi hicho.
●Yanga 1 - 2 Zanaco
●Yanga 0 - 1 Rivers
●Rivers 1 - 0 Yanga
●Yanga 1 - 1 Somalia
●Yanga 0 - 2 Vipers

Naomba kuuliza , huu uprofessor mliompa kocha wenu enyi utopolo mliutolea wap?

Match tano, amedroo moja, amefungwa nne , hajawahi shinda match yoyote kimataifa, huyu atakuwa professor wa mafailure!
Mafanikio ya profesa Nabi yanaanzia Yanga.
Huko alikotoka hajawahi kudumu kwenye timu zaidi ya mwaka kabla ya be fired. Ndio maana haondoki Yanga hadi aifikishe angalau quarter final champions League
 
Champions league ya buza labda Ila km Ni hii ya Africa angalao mwaka huu atacheza mechi nne badala ya mbili na kurudi.
 
Upopoma wa Simba wao wanathamini sana rekodi ndio maana walijiamini sana rekodi ya kwa mkapa mwishowe wakapigwa kitu kizito na wale jamaa wa Makhirikhiri
 
Kocha wa Yanga Nabi hajawahi kushinda mchezo wowote wenye taswira ya Kimataifa akiwa na kikosi hicho.
●Yanga 1 - 2 Zanaco
●Yanga 0 - 1 Rivers
●Rivers 1 - 0 Yanga
●Yanga 1 - 1 Somalia
●Yanga 0 - 2 Vipers

Naomba kuuliza , huu uprofessor mliompa kocha wenu enyi utopolo mliutolea wap?

Match tano, amedroo moja, amefungwa nne , hajawahi shinda match yoyote kimataifa, huyu atakuwa professor wa mafailure!
Hayo tayari tumeshayaona!!

Kama hutojali sasa, utuwekee pia na yale matokeo aliyokutana na Mtani wake simba.
 
Back
Top Bottom