Mafanikio ya profesa Nabi yanaanzia Yanga.Kocha wa Yanga Nabi hajawahi kushinda mchezo wowote wenye taswira ya Kimataifa akiwa na kikosi hicho.
●Yanga 1 - 2 Zanaco
●Yanga 0 - 1 Rivers
●Rivers 1 - 0 Yanga
●Yanga 1 - 1 Somalia
●Yanga 0 - 2 Vipers
Naomba kuuliza , huu uprofessor mliompa kocha wenu enyi utopolo mliutolea wap?
Match tano, amedroo moja, amefungwa nne , hajawahi shinda match yoyote kimataifa, huyu atakuwa professor wa mafailure!
Champions league ya buza labda Ila km Ni hii ya Africa angalao mwaka huu atacheza mechi nne badala ya mbili na kurudi.Mafanikio ya profesa Nabi yanaanzia Yanga.
Huko alikotoka hajawahi kudumu kwenye timu zaidi ya mwaka kabla ya be fired. Ndio maana haondoki Yanga hadi aifikishe angalau quarter final champions League
wachambuzi uchwara kimyaaa. ingekuwa Simba post zingepishana hukoFuatilia kinachoendelea kambini huko.. morisson keshakunya
Hayo tayari tumeshayaona!!Kocha wa Yanga Nabi hajawahi kushinda mchezo wowote wenye taswira ya Kimataifa akiwa na kikosi hicho.
●Yanga 1 - 2 Zanaco
●Yanga 0 - 1 Rivers
●Rivers 1 - 0 Yanga
●Yanga 1 - 1 Somalia
●Yanga 0 - 2 Vipers
Naomba kuuliza , huu uprofessor mliompa kocha wenu enyi utopolo mliutolea wap?
Match tano, amedroo moja, amefungwa nne , hajawahi shinda match yoyote kimataifa, huyu atakuwa professor wa mafailure!