technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mayele mpaka sasa kacheza mechi 18 kwenye mashindano yote msimu huu.
Huyu mwamba mwaka huu anaweza kuweka rekodi mpya ya upachikaji wa mabao. Maana ligi haijafika hata katikati, FA haijaanza, Mapinduzi Cup bado haijaanza, Shirikisho ana michezo 6, huyu ni tishio Afrika kwa sasa.
Halafu hana bao la penati hata moja duh!
- Amefunga mabao 17.
- Ana 'assist' 4.