Record za Mayele msimu huu zinatisha

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Mayele mpaka sasa kacheza mechi 18 kwenye mashindano yote msimu huu.

  • Amefunga mabao 17.
  • Ana 'assist' 4.

Huyu mwamba mwaka huu anaweza kuweka rekodi mpya ya upachikaji wa mabao. Maana ligi haijafika hata katikati, FA haijaanza, Mapinduzi Cup bado haijaanza, Shirikisho ana michezo 6, huyu ni tishio Afrika kwa sasa.

Halafu hana bao la penati hata moja duh!
 

Ngada FC Watakuja kupinga hadi statistics.
 
Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada FC wasipokupopoa kwa matusi na kejeli za bahasha nipigwe ban ya maisha nimekaa pale [emoji117][emoji143]
 
Binafsi namuombea heri. Hakika amewaziba midomo wale waliokuwa wakitukejeli na wale wachezaji wetu akina Yikpe na Sarpooong!!!
 
Maunga unga yatakuja kubisha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…