Records: Simba yaongoza kuwa na magoli mengi ya penalty duniani

Records: Simba yaongoza kuwa na magoli mengi ya penalty duniani

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wakati ligi mbalimbali zikielekea mapumziko, miongoni mwa ligi hizo ni NBC premier league ya 6 Kwa ubora Africa ....jambo ambalo limefanikishwa sana na Yanga since Yanga imeplay part kubwa kuijenga ligi hii

Back to the topic
Simba imeweka record mpya Duniani Kwa kuifunga magoli mengi ya penalty kuliko timu yeyote Dunian mwaka 2024/ 2025

kuanzia mwezi wa 10/ 2024 mpaka tarehe 1/1/2025 Simba wamefunga magoli 14 huku magoli ya penalty ni 12 wastani wa goli moja Kila mechi

NB: Je hii inatupa picha Gani sisi wanasimba kuelekea mzunguko wa pili wa ligi
1735719776463.jpg
 
Simba yasasa ni Mbeleko fc bila msaada wa marefa mechi zao zote ni droo , mwaka huu kolowizard itaishia kunawa ligi zote, makombe hawatayaona maana spidi ya Yanga baada ya kujipata ni hatari mno.
Kwahiyo yanga imejipata?
 
Hizi kelele marefa ndio wanaaza kutishwa hivyo maana kitakachotokea sasa Simba ataanza kunyimwa penati za halali.
Wanawapa timu pinzani pesa ili wakazie Simba utategemea nn kama sio mpira wa kimabavu
 
Hizi kelele marefa ndio wanaaza kutishwa hivyo maana kitakachotokea sasa Simba ataanza kunyimwa penati za halali.
Wanawapa timu pinzani pesa ili wakazie Simba utategemea nn kama sio mpira wa kimabavu
Kwan uongo?
 
Hiii haijawai kutokea ni Histolia mbaya magoli 14 penaliti 12 ina maana magoli ya kawaida ni 2 tuu?
 
Back
Top Bottom