Uwe unawafokea wanaotoa penati kwa Simba.Au Simba huwa wanalazimisha wapewe hizo penati?Hapana mkuu...swali ni kuwa ...Kwann Simba Kila mechi wakikamiw wapate penalty
Kwahiyo yanga imejipata?Simba yasasa ni Mbeleko fc bila msaada wa marefa mechi zao zote ni droo , mwaka huu kolowizard itaishia kunawa ligi zote, makombe hawatayaona maana spidi ya Yanga baada ya kujipata ni hatari mno.
Hakika Simba inastahili kupongezwa maana kuna timu zikipata penati, zinakosaSimba imeweka record mpya Duniani Kwa kuifunga magoli mengi ya penalty kuliko timu yeyote Dunian mwaka 2024/ 2025