Hautukwazi tajirdah makolo tunawazidi kila kitu, mna nini lakini? mbona kila kitu mpo nyuma.
any way kama tunawakwaza semeni.
Bahati nzuri sio TFF, CAF wala FIFA wanaojishughulisha na takwimu kama hizo. Hizo takwimu zinafanywa na timu zisizo na rekodi ili nazo zionekane zimo. Kumbuka, Simba imeorodheshwa kama timu inayoweza kushiriki Mashindano ya Klabu Bingwa ya Dunia yatakayoanzishwa na FIFA. Klabu yako imo?Timu zilizoshinda mechi nyingi kwa Mwaka 2023.
1. Al ahly. 45
2. Sundowns. 39
3 Esperence Tunis ....35
4. Young Africans.....35
5. Wydad Ac .....33
6. Ases mimosas......29
7. As far......29
8. Orando pirates...28
9. Gor najua.....27
10. Raja Casablanca....25
NB Je timu Yako inashika namba ngapi????View attachment 2859450
Kuna katimu kadoogo kanateseka sanaOn fire [emoji91][emoji91][emoji91]