Records za Mgunda na Nabi kimataifa zinatia uchungu

Records za Mgunda na Nabi kimataifa zinatia uchungu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Nabi
Yanga 1-1 Al Hilal
Al Hilal 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Club Africain
Yanga 0-2 Viper

Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana.
Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana ya kimataifa.

Juma Mgunda
Nyasa 0-2 Simba
Simba 2-0 Nyasa
Agosto 1-3 Simba
Simba 1- 0 Agosto
Juma anakupiga ndani na nje huku mpira ukitembea

.....nitaendelea baadae kuchambua
 
Nabi
Yanga 1-1 Al Hilal
Al Hilal 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Club Africain
Yanga 0-2 Viper

Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana.
Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana ya kimataifa.

Juma Mgunda
Nyasa 0-2 Simba
Simba 2-0 Nyasa
Agosto 1-3 Simba
Simba 1- 0 Agosto
Juma anakupiga ndani na nje huku mpira ukitembea

.....nitaendelea baadae kuchambua
🚮
 
Lipo la kuongezea hapo

Ukumbuke kwenye mechi za kimataifa tukiitoa Zalan kama ambavyo tumekubaliana, utaona Mayele pamoja na kucheza mechi 4 lakini bado kazidiwa idadi ya magoli na Opah aliyecheza mechi 2
 
Hii inathibitisha kuwa hata kwenye ligi kinachowabeba ni kucheza "vizuri" nje ya uwanja!! Wana striker mzuri GSM nje wa uwanja! Kwa bahati mbaya mbinu hizo hazifui dafu kwenye ngazi ya kimataifa!!
 
Ngoja Mihogo fc waje..wana hasira hao! Wamebaki na kujisifia tu..unbeaten! Mazwazwa wa kiwango cha SGR!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
acha boli itembee.leta Gunda,,leta Gunda,,leta Gunda.

Tyr muda huu suruali mpya kabisa ya kocha wetu Mgunda inapakiwa bandari ya china tutaipokea bandari ya Dar wiki ijayo[emoji116]
images.jpg
 
Watakwambia weka na mechi ya zalan
 
Back
Top Bottom