OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
🚮Nabi
Yanga 1-1 Al Hilal
Al Hilal 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Club Africain
Yanga 0-2 Viper
Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana.
Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana ya kimataifa.
Juma Mgunda
Nyasa 0-2 Simba
Simba 2-0 Nyasa
Agosto 1-3 Simba
Simba 1- 0 Agosto
Juma anakupiga ndani na nje huku mpira ukitembea
.....nitaendelea baadae kuchambua
Tayari mshawabatiza jina lingine[emoji1787]Ngoja Mihogo fc waje..wana hasira hao! Wamebaki na kujisifia tu..unbeaten! Mazwazwa wa kiwango cha SGR!
Siku hizi huna mipashooo tena, na nlikuambia wee mtu utakuja wakati utakua unalia pekee yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja Mihogo fc waje..wana hasira hao! Wamebaki na kujisifia tu..unbeaten! Mazwazwa wa kiwango cha SGR!
Naona mihogo imekusakama unashindwa kusema kitu,sukumizia na maji[emoji706]
[emoji23][emoji23]Mwasibu uchungu kauzoea.
TBT leo😃😃😃watuuu
Hahahahaha!!Huyu mhasibu feki. Na hofu na uhasibu wake