Pamoja sana chambuzi nguli la JfLipo la kuongezea hapo
Ukumbuke kwenye mechi za kimataifa tukiitoa Zalan kama ambavyo tumekubaliana, utaona Mayele pamoja na kucheza mechi 4 lakini bado kazidiwa idadi ya magoli na Opah aliyecheza mechi 2
Eti chambuzi nguli. Lol. 😅😅Pamoja sana chambuzi nguli la Jf
Nabi
Yanga 1-1 Al Hilal
Al Hilal 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Club Africain
Yanga 0-2 Viper
Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana.
Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana ya kimataifa.
Juma Mgunda
Nyasa 0-2 Simba
Simba 2-0 Nyasa
Agosto 1-3 Simba
Simba 1- 0 Agosto
Juma anakupiga ndani na nje huku mpira ukitembea
.....nitaendelea baadae kuchambuad bu
Hasibu la uchunguNabi
Yanga 1-1 Al Hilal
Al Hilal 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Club Africain
Yanga 0-2 Viper
Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana.
Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana ya kimataifa.
Juma Mgunda
Nyasa 0-2 Simba
Simba 2-0 Nyasa
Agosto 1-3 Simba
Simba 1- 0 Agosto
Juma anakupiga ndani na nje huku mpira ukitembea
.....nitaendelea baadae kuchambua
Mpe maji😂TBT leo
Ni mwajiliwa wa Simba huyo hivyo timu zote za Simba ndio mtegemezi wao. Ngoja uone Fadlu akiboronga atakavyoitwa amalizie msimu.