Recover deleted file on your PC

napenda movie

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
543
Reaction score
481
kwa wale watumiaji wa computer ikitokea umefuta kitu kwa bahati mbaya iwe kwenye simu memory card au flash je kuna uwezekano wa kuviludisha vitu ulivyo vifuta.

jibu ni ndio inawezekana hapo unahitaji kua na proglamu moja inaitwa RECUVA kwa bahati mzuri hiyo prog ni bure kabisa kwa matumizi ya kawaida kama kuludisha doccoment music video na baadhi ya program basi ikiwa utahitaji zaidi ya hapo unaweza kulipi ikawa pro.

unaipataje fungua chrome au browser yeyote tafuta recuva kwa search ya google na kama kuna proglamu nyingine inaweza ludisha offline olzesha hapo tuijue.

 
Umekuja kwa Kasi ya ajabu, Ila poa.
 
Kwa hard drive kurecover ni rahisi ila memory cards na flash si rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…