Duh! Electrical na Nursing ndani ya kichwa 1. Hii inaweza kuwatisha waajiri. Nakushauri uwe na cv mbili tofauti UTAPATA ajira haraka zaidi. Manake ukichanganya hivyo inaashiria instability au ukosefu wa umakini KWENYE VYOTE VIWILI. Ndo inavyoonekana kwa nje.jamani wana JF.Nami natafuta kazi sasa kwa muda mrefu tu bila mafanikio yoyote.Nina bachelor ya electrical engineering na Associate degree ya nursing lakini sasa undugunization ya bongo kwa kweli inanifundisha adabu.Any suggestions or commends?
Hapana mkuu, siku hizi tuaotoa ajila tumeshtuka hatuhitaji vyeti bali tunakuhitaji wewe mwenyewe phisically tukufanyie interview ya kuonge na kuandika na ufanye solo presentation. makaratasi hatuna haja nayo kwani viwanda vya printing vimekuwa vingi.
Mkuu,shukrani kwa comment na ushauri. Ukweli ni kwamba huwa ninapoomba kazi huwa natuma CV ya kila profession,yaani CV moja tu.Nina CV mbili tofauti wala sijachanganya profession zote kwa pamoja.Ahsante kwa ushauri
jamani wana JF.Nami natafuta kazi sasa kwa muda mrefu tu bila mafanikio yoyote.Nina bachelor ya electrical engineering na Associate degree ya nursing lakini sasa undugunization ya bongo kwa kweli inanifundisha adabu.Any suggestions or commends?