Recruitment Agencies

Recruitment Agencies

mdudu8

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
21
Reaction score
2
Habari zenu wadau!naomba kueleweshwa kisheria kuhusu hizi recruitment Agencies!

Mwanzo ilikuwa inaitwa SPANCO ambayo imechukua tenda kutoka AIRTEL ya kuajiri watu nakuendesha CALL CENTER baada ya kuanza michakato ya vimavya mshahara vyachini kubadilishwa kwa kutangazwa na serikali!hiyo kampuni ikabadilishwa jina na kuitwa ISON!hapo wakawa wanasema wao hawahusiani na maswala ya kimacha chini kilicho tangazwa na serikali!

Sasa kwa mujibu wa Waziri wakazi kama wiki mbili zilizo pita alitangaza makampuni hayo kurudisha wafanyakazi wake kwa muajiri!kutokana na maelezo yake kwamba watu wanaofanya kazi moja wanatakiwa kulipwa mshahara usiopishana sana!ila hiyo kampuni mtu wachini analipwa Laki na nusu kwa masaa 4 mwisho wa mwezi hao ni Temporary contract na wenye parmanent wanaanza kulipwa lakimbili na sabini kwa masaa nane! Japo kunawatu humo humo wanalipwa laki tisa mpaka milioni na wote mnafanya kazi moja!japo AIRTEL wenyewe kunauvumi kuwa kwakila staff wanamlipa laki sita!kwa kuwalipa hao ISON ila wahindi hao wanawapa staff wao laki mbili na sabini kwa laki na hamsini KUMBUkA hapo bado kodi haijakatwa!

Swali je Serikali kwanini hawawaongelei wahindi hawa!?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom