Recruitment agency ni suluhisho la ajira nchini au ndo chanzo cha ajira nchini?

Recruitment agency ni suluhisho la ajira nchini au ndo chanzo cha ajira nchini?

herbsman

Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
81
Reaction score
57
hizi recruitment nchini ni chanzo cha ajira au ndo kikwazo cha vijana kukosa ajira.huku kujuana si kuna athiri sana hawa watoto wa wakulima ambao hawana watu wa ngazi za juu serikalini pamoja na ngazi za juu za makampuni
 
Alafu zimejaa kibao.
Inawezekana zipo ambazo ni suluhisho la tatizo la ajira lakini za kisanii ndio zipo nyingi zaidi.
 
Back
Top Bottom