herbsman Member Joined Apr 29, 2011 Posts 81 Reaction score 57 Jan 18, 2012 #1 hizi recruitment nchini ni chanzo cha ajira au ndo kikwazo cha vijana kukosa ajira.huku kujuana si kuna athiri sana hawa watoto wa wakulima ambao hawana watu wa ngazi za juu serikalini pamoja na ngazi za juu za makampuni
hizi recruitment nchini ni chanzo cha ajira au ndo kikwazo cha vijana kukosa ajira.huku kujuana si kuna athiri sana hawa watoto wa wakulima ambao hawana watu wa ngazi za juu serikalini pamoja na ngazi za juu za makampuni
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Jan 18, 2012 #2 Alafu zimejaa kibao. Inawezekana zipo ambazo ni suluhisho la tatizo la ajira lakini za kisanii ndio zipo nyingi zaidi.
Alafu zimejaa kibao. Inawezekana zipo ambazo ni suluhisho la tatizo la ajira lakini za kisanii ndio zipo nyingi zaidi.