Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Habari za wakati huu,
Kila biashara huwa inakuwa na aina mbili za shughuli kwa kutegemea sector yake.(Nitachanganya lugha)
Function za kwanza zinaitwa CORE FUNCTIONS(Shughuli za msingi ambazo hasa ndo zinafanya biashara iwepo yaani ndo zinaingiza pesa au kutengeneza value)
Function za pili zinaitwa(Non-Core/Supportive function)Hizi ni zile shughuli ambazo zinasupport utekelezaji wa shughuli za kampuni lakini sio za msingi.
Kwa mfano unapoanzisha kuwanda utawekeza zaidi katika rasilimali za uzalishaji na utaalam kisha ndo uanze kuwekeza katika other non esential functions.
Ili kupunguza mzigo wa gharama za uendeshaji kampuni inaweza kuamua kabisa kuachana na shughuli non-core kwa kufanya kitu kinaitwa OUTSOURCING
Outsourcing ni pale ambapo kampuni inapoamua kuingia mkataba na kampuni ya nje kufanya baadhi ya shughuli zake kwa mkataba maalum.Outsourcing sio joint venture ni kama subcontract.Katika makubaliano haya kampuni ya nje (Outsource inaweza kusaidia kampuni kuu katika kusimamia na kutekeleza aadhi ya majukumu ikiwamo,kuajiri wafanyakazi,kuwasimamia na hata wakati wengine kuzalisha baadhi ya bidhaa au huduma)
Huu sio mfumo mgeni duniani upo katika nchi nyingi na umesaidia sana katika kampuni ambazo zina complex operations katika kupunguza gharama za usimamizi na uendeshaji.
Je unawezaji kujiajiri katika eneo hili?
Kwa kutegemea sekta uliyopo unaweza kuanzisha Partnership(Ubia) na kisha mkaingia sokoni kushawishi kampuni kuwapo subcontract kulingana na eneo mliloko kwa mfano kama ni madereva mnafanya yafuatayo:
Hili linaweza kufanyika katika maeneo tofauti kama vile ualimu, Maafisa rasilimali watu, sheria, kodi, kufanya usafi maofisini IT support, secretarial services, marketing, maintenance etc.
Lakini unajua raha ni kwamba wewe pia unaweza uka outsource baadhi ya services zako ili pia kupunguza gharama.
Je, unafikiri unaweza kufanya moja wapo kati ya haya?
Kama jibu ni ndio basi tuwasiliane kwa Email:masokotz@yahoo.com au kwa simu namba 0710323060 ili tukushauri zaidi kuhusu biashara yako.

- Mnajisajili kiserikali kama Ubia Partnership ambapo gharama yake ni TZS 20,000 pamoja na TIN number
- Mnachkua leseni a biashara ambayo ina gharama kama TZS 200,000(Inategemea na eneo)
- Mnafungua akaunti Benki kwa jina la ubia 50,000
- Mnaandaa Company Profile inayoeleza shughuli zenu pamoja na logo(TSH 150,000)
- Mnatengeneza website kwa ajili ya biashara yenu (TSH 200,000)
- Mnaanda mikataba mbalimali (Templates/standard kwa ajili ya kukodisha magari toka kwa wamiliki )
- Mnaanda mikataba kwa ajili ya huduma
- Mnaandaa database ya potential clients kama vile kampuni na taasisi binafsi ambazo mnaweza kufanya nazo kazi.
- Jumla ya gharama zote ni chini ya Shilingi Milioni Moja na unakuwa ni mmiliki wa biashara.