Rectocvaginal Examination

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Posts
2,874
Reaction score
316
Its healthy lakini hii huduma hata kwa pesa sifanyi!!

 
Last edited by a moderator:
Its healthy lakini hii huduma hata kwa pesa sifanyi!!


Lakini nadhani inafanyika kwa wagonjwa si kwa wenye hela. ukiumwa na ikihitajika utafanyiwa ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
huyu dada mbona wanamdhalilisha hivi?ilikuwa wasionyeshe sura yake basi
 
Ni haki ya kila mwanamama kufanyiwa uchunguzi wa kutosha ili magonjwa kama kansa yaibuliwe mapema.
 
Hapa kuna haja ya kufikiria tena hali halisi hapa nchini kuhusu ni akina nani waifanye kazi hii yaani akina baba au akina mama?
 
nami nitakwenda hiyo shule i say kweli nimechagua wrong prof, bora ningelikuwa Dr wa hiyo kitu
 
Am proud 2 be aDR my lovely profesional, i real enjoy my life stress only during studies bt in practice very nice, u wont be 2 rich or 2 poor just standard life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…