Recycling companys

Recycling companys

mrlonely98

Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
95
Reaction score
19
Asalaam wana jamii.
milikua na uliza recycling comapanys zipo Tanzania? na kama zipo ziko wapi. na vipi kuwa contact.

asanteni kwa wale watakao ni saidia kwenye hili
 
asalaam wana jamii.
Milikua na uliza recycling comapanys zipo tanzania? Na kama zipo ziko wapi. Na vipi kuwa contact.

Asanteni kwa wale watakao ni saidia kwenye hili

mkuu kampuni za recycling ziko nyingi inategemea wewe unataka recycling kwenye nini hasa.
- chuma
- matairi/mipira
- plastic
-mifuko ya plastic
-aluminium
-
 
Posho za vikao,

Hata mimi imekuwa nitafuta hizi kampuni hasa za kurecycle karatasi na plastics na mifuko ya plastic
 
mkuu nilikua naulizia za plastic na aluminium

Mkuu recycling ya plastic kwa Dar sasa kuna watu binafsi na makampuni kadhaa yanayofanya hiyo biashara. Kuna wachina wako pale Chang'ombe, Bora Industries pia wanafanya recycling, na makampuni mengi yanayotengeza bidhaa za plastic kama vile conduits, mabomba n.k. Pia kuna project ya UNIDO ya pastic recycling waliyoanzisha kwa ushirikiano na serikali na mitambo yao iko pale TIRDO Msasani.
 
Unazo nyingi? Tatizo ni bei mimi nilijaribu biashara ya vyuma chakavu tatizo ni bei Tani 1 ilikuwa sh. 100,000 wakati huo nilikuwa nikipiga gharama inakuwa kubwa kuliko mauzo hili ni angalizo!
 
Unazo nyingi? Tatizo ni bei mimi nilijaribu biashara ya vyuma chakavu tatizo ni bei Tani 1 ilikuwa sh. 100,000 wakati huo nilikuwa nikipiga gharama inakuwa kubwa kuliko mauzo hili ni angalizo!


Babalao: Mimi nina soko la vyuma chakavu nje ya nchi..Nadhani bado una network ya market..Je unaweza kusource in large quatity tukawa tuna-export???? Nadhani itakuwa profitable zaidi.
 
Back
Top Bottom