mrlonely98
Member
- Nov 6, 2009
- 95
- 19
asalaam wana jamii.
Milikua na uliza recycling comapanys zipo tanzania? Na kama zipo ziko wapi. Na vipi kuwa contact.
Asanteni kwa wale watakao ni saidia kwenye hili
mkuu nilikua naulizia za plastic na aluminium
Unazo nyingi? Tatizo ni bei mimi nilijaribu biashara ya vyuma chakavu tatizo ni bei Tani 1 ilikuwa sh. 100,000 wakati huo nilikuwa nikipiga gharama inakuwa kubwa kuliko mauzo hili ni angalizo!