ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Mnyama anashinda 2 bilaSimba Sc, wakiwa na faida ya magoli matatu waliyoyapata mechi ya kwanza, leo wataingia uwanja wa taifa Lusaka kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Red Arrows kuwania kuingia hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika. Je, mnyama ataweza kulinda ushindi wake na kutinga hatua ya makundi?
Tuwe hapa kuanzia Saa 10 Jioni
Wazambia wazuri , wakiipress simba simba inafungika kirahisi sana. Onyango ana makosa mengi ya kiufundiMnyama anashinda 2 bila
Hawatoki mikia kwa jua hilo..sasa labda wategemee mbinu yao kubwa msimu huu ya kujidondoshaMabata fc wajiandae kwa kichapo kizito maana huko Lusaka hakuna maji leo ya kuogelea.
View attachment 2033694