OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hakuna timu pale mkuu. ni ushuzi tuNaota au ni kweli?[emoji849][emoji849]
Tusafishe twamHii timu huu msimu inatukosea sana,shida nini?
Kuwa mvumilivu kama shabiki wa liverpool.Mpira unapita mabeki wanatoa macho ka wanatunga shanga
Endeleeni kuangalia li mpira lenu
Too late...Toa wawa weka kenedy
Hehehe Mpaka ndugu yangu leo umesusa kweli inatia hasira mi sija angalia game napita mtaani naona shangwe nyingi kumbe ni nyani wanashangilia.Mpira unapita mabeki wanatoa macho ka wanatunga shanga
Endeleeni kuangalia li mpira lenu
Aingie akapaisheJamani Mugalu yupo wapi?
Ndio matokeo yakiwa hivi tunatoboa ila akuna matumaini Simba atapigwa tu akuna namna.Tujipe moyo mkuu. Lakin ikiwa hivi hivi, Aggregate si inaibeba Simba??
Kuna mtu anajua sababu ya Onyango na Kapombe kuanzia bench???
Ngoja kocha wa Madrid ya Kimara Bonyokwa aje kujibu.Kuna mtu anajua sababu ya Onyango na Kapombe kuanzia bench???
Hakuna coach hapaKapombe in..
Morrison out...