Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Hivi beki simba ipo kweli, au wameuzwa
Kuanzia kiungo kurudi nyuma kumekatika.Na nakubaliana na mdau mmoja aliyesema kua simba kwenye mechi zakulinda ushindi wanakuaga na wakati mgumu. Timu nikama inakua na kiwewe. Tumepata goli moja ngoja tuone hadi mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…