Kwa hiyo sifa kwa kocha kwa kurekebisha makosaMzamiru anacheza vizuri sana akitokea sub.
Kiufupi kikosi hiki cha lala salama kiko vema.
First 11 iliniletea mashaka sana.Kwa hiyo sifa kwa kocha kwa kurekebisha makosa
Hapo kacheza kama Pelle...Kwa hiyo sifa kwa kocha kwa kurekebisha makosa
Sahihi kabisa, si mfungaji mahiri.Kasi na nguvu anazo, ila umaliziaji ndio tatizo...
yake magoli sio kipa ni bekiIla Magoli anayofungaa aishi Manula Leo [emoji27][emoji27][emoji27]
Ndiyo Ukweli WenyeweHata ikiwa utamkuta kalowa bado ni Simba.
Hawa hawana ujanja.... Wameshalala....Aaaaah hii CAF mnaionaje ya mwamuzi kuingeza dakika tano?
Sielewi zimetokana na nini. 3 zilitosha sanaAaaaah hii CAF mnaionaje ya mwamuzi kuingeza dakika tano?
Aweke hata 10 wameshakata tamaaAaaaah hii CAF mnaionaje ya mwamuzi kuingeza dakika tano?
Waongeze hata 20, hii ngoma kimsingi imegeuka, na timu hii tungewafunga. Wana bahatiAaaaah hii CAF mnaionaje ya mwamuzi kuingeza dakika tano?
ni mtoto wa malota soma, ball jugglerNi mtu sana huyo dogo, jaribu kumfuatilia. Ana kasi na ana nguvu.
We tulia mwanangu hapa ni mzuka tuWaongeze hata 20,, hii ngoma kimsingi imegeuka,, na tim hii tungewafunga. Wana bahati