Naamini hawachezi Red Arrows pekee, hizo 5 wamepewa wote wazichangamkie.Aaaaah hii CAF mnaionaje ya mwamuzi kuingeza dakika tano?
Kapitiwa tu.Mtangazaji anasema Arrows waongeze magoli mawili ili wasonge, sasa huyu si bora atangaze rede tu.
Mtangazaji kaomba msamaha, kumbe yumo humu.Sasa hivi ndio anasema wafunge 3 mwanzoni alikuwa anasema 2, watangazaji uchwara hawa.
Pole najua umeumiaKwa hio kocha wa real madrid ndio mpira huo🤔🤣
Aise, Malota soma alikuwa hatari sana enzi zake. Ball juggler, nakumbuka hili jina.ni mtoto wa malota soma, ball juggler
Hata yeye KashakiriKapitiwa tu.