Dilunga ni mwanae kabisa wa kumzaa, like father like sonAise,, Malota soma alikuwa hatari sana enzi zake. Ball juggler,, nakumbuka hili jina.
Kwani dirisha dogo si mwezi huu au?Tumepita ndio ila tukipenya robo fainali basi tusajili upya dirisha dogo. Wote wageni waliosajiliwa toa abaki Enocka tu
Kocha kaja juzi hata mwezi bado unasema humuamini?????Simba ya safari hii uaani mnaahinda lakini mnapita kwenye tanuru la moto kwanza
hii dabi sijui itakuaje
Itoshe tu kusema sina imani bado na huyu wa kujiita mmadrid
Aje chama kwanzaKwani dirisha dogo si mwezi huu au?
Tusubirini dabiPole najua umeumia
Aggregate Simba 4-2 Red Arrows
Tunaingia group stage na zawadi ya 600M +
Haya tuhamie kule Kwa manutd najua ni shabikimate wa hizi timu mbili ......😃🤝Naaam mpira umekwisha manyoooko
Yeah! Hata mimi roho yangu ndio itatuliaaje chama kwanza
Tatizo sio kocha. Ni wachezaji hakuna. Hivi Morinyo akipewa Mbeya Kwanza ataifanyia nini?Simba ya safari hii uaani mnaahinda lakini mnapita kwenye tanuru la moto kwanza
hii dabi sijui itakuaje
Itoshe tu kusema sina imani bado na huyu wa kujiita mmadrid
Majina mengine yanaakisi uhalisia.Simba anapigwa 4 kavu
Dabi haipo kwenye makundi, ni ligi kama Mbeya KwanzaTusubirini dabi
Striker apatikane piaaje chama kwanza
Kocha kaja juzi hata mwezi bado unasema humuamini?????