Sina imani na Wawa tu,kwengine kote sina shaka.Manula,Israel,Hussein,Wawa,inonga,Mkude,Dilunga,Kanoute,Kagere,Bwalya na Morrison.
Kmmamake.... Wawa wa nini hapo..!?
Wazambia mshapigwa tatu za kwanza leo ni muendelezo tu.Ee Mungu tubariki sisi Wazambia ili tupindue meza, aamin
Wanaume wanawatengezea mipango ya kushiriki michezo ya kimataifa nyie mademu tandikeni vitanda huku mngoje kuletewa moto.Arrows nifurushie hawa mbumbumbu kunako CAF confederation league.
Wawa huwa ana game zake..... wezi jua shekhee aweza ibukia uko uko zambiaSina imani na Wawa tu,kwengine kote sina shaka.
Ni kweli ila Wawa huwa anamapungufu ya kudumu,mzito mipira ya juu aruki utemi wa kupitiliza nguvu nyingi akili anaziacha store.Wawa huwa ana game zake..... wezi jua shekhee aweza ibukia uko uko zambia