Sijui tuna shida gani simba,naona hawa Red arrows wamekosa tu forward nzuri pale.. vinginevyo wangekuwa na bao mbili hapa.Tukifanya masihara tunatolewa
Sijui tuna shida gani simba,naona hawa Red arrows wamekosa tu forward nzuri pale.. vinginevyo wangekuwa na bao mbili hapa.
Au wanawaza tar 11Tumezoea kuiona simba ikicheza hovyo baada ya kupata goli la kuongoza
Na hapa simba bado haijapata goli lakini cheki inavyocheza
Ni jambo lililotegemewa. Jana katika press, Pablo alisema anatazamia Red Arrows watakuja na mashambulizi maana hawana cha kupoteza, kwamba walishapoteza hivyo watajilipuaHawa mbwa wanashambulia lakini
Ni hatari aisee,naomba tutoke salama.Muda mwingi jamaa wapo kwenye goli letuTumezoea kuiona simba ikicheza hovyo baada ya kupata goli la kuongoza
Na hapa simba bado haijapata goli lakini cheki inavyocheza
Kama wanafunzi hawazingatii masomo utampa lawama kocha kwa lipi?Uyu kocha kafundisha Madrid ipi ya Buza au Kimara bonyokwa?
Sijajua formation ya leo walijizatiti kuja ku defense tu au niajeNi hatari aisee,naomba tutoke salama.Muda mwingi jamaa wapo kwenye goli letu