Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Mpira unapita mabeki wanatoa macho ka wanatunga shanga

Endeleeni kuangalia li mpira lenu
Hehehe Mpaka ndugu yangu leo umesusa kweli inatia hasira mi sija angalia game napita mtaani naona shangwe nyingi kumbe ni nyani wanashangilia.
 
Hivi Bench La Simba limekosa Mbinu kabisa?

Niliwahi kusema kumleta kocha Mpya na Kumuacha Matolla na Hitimana ni Makosa Makubwa.
 
Back
Top Bottom