NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Wanaingiza Kapombe mtumba grade"C"Red watafikisha goli nne leo.Kapombe in..
Morrison out...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaingiza Kapombe mtumba grade"C"Red watafikisha goli nne leo.Kapombe in..
Morrison out...
Mbona umemgeuka ghafla hivi Mmadrid?Ngoja kocha wa Madrid ya Kimara Bonyokwa aje kujibu.
Kapombe ameingia na pressure kuja kwetu imepungua.kapombe kachokq sana, labda why onyango yupo bench
Msiwe wajuaji wa kila kitu. Kocha ndiye anakuwa na wachezaji mazoezini. Si kila wakati timu inapofungwa basi ni mbinu mbovu. Wakati mwingine ni uwezoHakuna coach hapa
Morrison kama mvua ya kiangazi tu, hainyeshi hainyeshi hiyoo!Kapombe in..
Morrison out...
Madrid akuwai kufundishwa na kocha kiazi kama huyu.Mbona umemgeuka ghafla hivi Mmadrid?
Nilisema hivi hivi juzi kwenye mechi dhidi ya geita gold ukanishambulia na kusema kwamba Simba haini hitaji kuangalia ili ipate ushindi, sasa imekuaje mkuu [emoji28] ??Simba kafika golini kwa red arrow kwa dakika kama 5-7 baada ya hapo mpira umechezwa kwenye box la manula
Kweli kwa style hii na hiyo tarehe 11 sijui, kwanza mpira wenyewe sitaangalia mamamake
Kuna mimtu mipunguani sana kaka,ushabiki ushawajaaaNilisema hivi hivi juzi kwenye mechi dhidi ya geita gold ukanishambulia na kusema kwamba Simba haini hitaji kuangalia ili ipate ushindi, sasa imekuaje mkuu [emoji28] ??