Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Mwaka 2013, mwanaume mmoja aliweza kuwashtaki redbull kwa kuweka tangazo la Uongo na kumfanya wamlipe dola milioni $13 kwa kutompa mabawa.
Anaitwa Benjamin Careathers aliweza kufungua kesi dhidi ya Redbull akiishitumu kampuni hiyo kwa uuzaji wa udanganyifu juu ya kauli yao maarufu Redbull "gives you wings" 💸 inakupa mabawa.
Licha ya maneno hayo yalikua kama motisha lakini iliwapotosha watumiaji wengi na kuwamini ukinywaji Redbull unaweza kupaa kwa kutoa nguvu ya ajabu.
Kesi hiyo ambayo ilizua mjadala kuhusu usahihi wa madai ni kuanda tangazo kwa kupotosha umma. Redbull ilikanusha yote kwa kuamua kubadili kutoka binadamu na kuweka picha ya mnyama😀.
Unakumbuka tangazo gani ukiamua kuwashtaki utaweza kulipwa yani ni la Uongo kupitiliza ??